154- Humayd bin ´Abdir-Rahmaan amesema: “Nilikutana na bwana mmoja ambaye alisuhubiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kama ambavo Abu Hurayrah alivosuhubiana naye na akasema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametukataza mmoja wetu kujichanua kila siku au akakojoa mahali pa kuogea.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud na an-Nasaa´iy ambaye amepokea utangulizi wa Hadiyth.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/174)
- Imechapishwa: 12/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
154- Humayd bin ´Abdir-Rahmaan amesema: “Nilikutana na bwana mmoja ambaye alisuhubiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kama ambavo Abu Hurayrah alivosuhubiana naye na akasema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametukataza mmoja wetu kujichanua kila siku au akakojoa mahali pa kuogea.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud na an-Nasaa´iy ambaye amepokea utangulizi wa Hadiyth.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/174)
Imechapishwa: 12/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-mtume-wa-allaah-ametukataza-mmoja-wetu/