106- Imepokelewa kutoka kwa Ka´b bin Maalik ambaye kaeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Yeyote anayetafuta elimu kwa ajili ya ajilinganishe na wanachuoni, kugombana na wapumbavu na kufanya nyuso za watu zimgeukie, basi Allaah atamwingiza Motoni.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy na tamko ni lake, Ibn Abiyd-Dunyaa katika “as-Swamt”, al-Haakim na al-Bayhaqiy. at-Tirmidhiy amesema:
“Hadiyth ni geni.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/153)
- Imechapishwa: 03/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)