725- Abu Hurayrah na Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhum) wameeleza kwamba wamemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema juu ya kiti chake cha mimbari:
“Wakome watu kuacha swalah za ijumaa au Allaah atagonga muhuri juu ya nyoyo zao kisha watakuwa miongoni mwa waghafilikaji.”[1]
Ameipokea Muslim, Ibn Maajah na wengineo.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/450)
- Imechapishwa: 26/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswiyr-ud-Diyn al-Albaaniy
725- Abu Hurayrah na Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhum) wameeleza kwamba wamemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema juu ya kiti chake cha mimbari:
“Wakome watu kuacha swalah za ijumaa au Allaah atagonga muhuri juu ya nyoyo zao kisha watakuwa miongoni mwa waghafilikaji.”[1]
Ameipokea Muslim, Ibn Maajah na wengineo.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/450)
Imechapishwa: 26/04/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswiyr-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/02-hadiyth-wakome-watu-kuacha-swalah-za-ijumaa/