269 – Abu Dharr (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
مَن بنى لله مسجداً قدَرَ مَفحَصِ قطاةٍ؛ بنى الله له بيتاً في الجنة
“Yeyote atakayejenga msikiti kwa ajili ya Allaah kiasi cha fuko la ndege, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.”[1]
Ameipokea al-Bazzaar na tamko ni lake, at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam as-Swaghiyr” na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/227)
- Imechapishwa: 09/03/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket