1 – Abu Bakr Ahmad bin ´Amr bin Abiy ´Aaswim ametukhabarisha: al-Husayn bin al-Hasan bin al-Harb al-Marwaziy ametukhabarisha: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha, kutoka kwa Ibnak Lahiy´ah, kutoka kwa Yaziyd bin ´Amr, kutoka kwa Abu ´Abdir-Rahmaan al-Hubuliy, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mwenye kunyamaza anaokoka.”[1]
2 – Ibraahiym bin Hajjaaj as-Saamiy ametukhabarisha: Bashshaar bin al-Hakam Abu Badr ametukhabarisha: Thaabit ametukhabarisha, kutoka kwa Anas, ambaye amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikutana na Abu Dharr na akasema: “Ee Abu Dharr, nisikuelekeze juu ya sifa mbili?” Akasema: ”Ndio, ee Mtume wa Allaah.” Akasema: ”Jilazimishe na tabia njema na unyamaze muda mrefu. Naapa kwa Ambaye nafsi yangu imo mkononi Mwake! Viumbe hawajajipamba kwa sifa nzuri zaidi kama sifa mbili hizo.”[2]
3 – ´Abdullaah bin Muhammad bin Asmaa’ ametukhabarisha: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha, kutoka kwa Yahyaa bin Ayyuub, kutoka kwa ´Ubaydullaah bin Zahr, kutoka kwa ´Aliy bin Yaziyd, kutoka kwa al-Qaasim, kutoka kwa Abu Umaamah, ambaye amesema:
”`Uqbah bin `Aamir alisema: “Ee Mtume wa Allaah, ni nini wokovu?” Akasema: “Udhibiti ulimi wako.”[3]
4 – Ibraahiym bin al-Mundhwir al-Hizaamiy ametukhabarisha: ´Umar bin ´Uthmaan ametukhabarisha, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Ibn Shihaab, ´Abdur-Rahmaan bin Maa´iz al-´Aamiriy amenikhabarisha ya kwamba Sufyaan bin ´Abdillaah amesema:
”Nilisema: ”Ee Mtume wa Allaah! Ni kipi unachokiogopa zaidi kwangu?” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akaushika ulimi wake na kusema: “Hii.”[4]
5 – Husayn bin Mahdiy ametukhabarisha hayohayo: ´Abdur-Razzaaq ametukhabarisha, kutoka kwa Ma´mar, kutoka kwa az-Zuhriy.
6 – Abu Bakr ametukhabarisha: Ghundar ametukhabarisha, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Ya´laa bin ´Atwaa’, kutoka kwa ´Abdullaah bin Sufyaan, kutoka kwa baba yake, ambaye amesema:
“Ee Mtume wa Allaah, nijihadhari na kitu gani?” Akaashiria kwenye ulimi wake.”[5]
7 – Abu Bakr ametukhabarisha: Ghundar ametukhabarisha, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa al-Hakam: Nimemsikia ´Urwah bin an-Nazzaal akihadithia kwamba Mu´aadh bin Jabal, ambaye ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Je, nisikujulishe katika yale yanayokamilisha yote hayo?” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akaashiria kwenye ulimi wake. Nikasema: ”Je, tutawajibishwa kwa kila tunalosema, ee Mtume wa Allaah?” Akasema: “Mama yako akukose! Kuna kingine kinachosababisha watu kutupwa Motoni juu ya pua zao ikiwa si matokeo ya ndimi zao?”[6]
[1] at-Tirmidhiy (2501). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (6367).
[2] Abu Ya´laa (3298). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (4048).
[3] at-Tirmidhiy (2406). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1396).
[4] at-Tirmidhiy (2410). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (2410).
[5] Ahmad (14991). Nzuri na Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2863).
[6] at-Tirmidhiy (2616). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (2616).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 5-6
- Imechapishwa: 24/06/2025

Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 5-6
Imechapishwa: 24/06/2025
https://firqatunnajia.com/01-jihadhari-na-ulimi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket