Rabiy´ al-Madkhaliy Kuhusu ´Abdul-Haadiy al-´Umayriy


Swali: Mnamo siku za karibuni ´Abdul-Haadiy al-´Umayriy atawajia wanawake na kuwatolea muhadhara. Unawanasihi nini ndugu zetu Salafiyyuun wa Indonesia?

Jibu: Mimi nawashauri wasimwendee mtu huyu na kumsikiliza mpaka pale atapojirudi kuwasapoti wale wanaokwenda kinyume na mfumo wa Salaf.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=LRv0JaFwiFU
  • Imechapishwa: 31/03/2017