Kwenda uwanja wa ´Iyd kwa kutembea au kwa kupanda?


Swali: Sunnah ni kwenda mahali pa kuswalia kwa kutembea na miguu au kwa kupanda?

Jibu: Sunnah ni mtu kwenda kwa kutembea. Isipokuwa ikiwa kama mtu anahitajia kupanda. Katika hali hiyo hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/235)
  • Imechapishwa: 14/06/2018