Kusikiliza Khutbah ya ´iyd imependekezwa


Swali: Ni ipi hukumu ya kukaa kusikiliza Khutbah ya ´iyd?

Jibu: Ni Sunnah iliyopendekezwa. Sio wajibu kama Khutbah ya ijumaa, lakini hata hivyo imependekezwa na kutiliwa nguvu. Hivyo sikiliza na ukae kimya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-10-13.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014