Kujiita kwa jina la Habiyb-ur-Rahmaan


Swali: Inajuzu kujiita kwa jina la Habiyb-ur-Rahmaan (kipenzi cha Allaah)?

Jibu: Jina hili ndani yake kuna kujisifu. Vipi unajua kuwa ni Habiyb-ur-Rahmaan?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014