Kuacha Kurusha Mawe Kwenye Nguzo Tarehe 13 Dhul-Hijjah

Swali: Kipi kinachomlazimu mwenye kuacha kurusha mawe kwenye nguzo tarehe 13 Dhul-Hijjah?

Jibu: Kinachomlazimu ni kutoa fidia. Ikiwa hakurusha mawe kwenye nguzo ni wajibu kwake kutoa fidia. Aidha yuko Makkah atachinja huko au [akiwa nje ya Makkah] atamtumia mtu aliye Makkah kima chake amfanyie hivo mahala pake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017