Kila mtawala wa nchi anatakiwa kutiiwa


Swali: Baadhi wanasema kuwa ni wajibu kumtii mtawala ambaye ni khaliyfah wa jumla?

Jibu: Tangu hapo kale kila nchi au mji una kiongozi wake. Wanachuoni waliokutana na hayo hawakutamka kwa upotevu kama huu. Kila mtawala katika mji anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3