Swali 95: Je, inafaa kumzika mwanamke na mwanamme ndani ya kaburi moja[1]?
Jibu: Hapana neno kufanya hivo haja ikipelekea kufanya hivo idadi kubwa ya waliokufa kutokana na mauaji au tauni.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/212).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 66
- Imechapishwa: 07/01/2022