Swali: Nina wafanyakazi wenzangu hawaswali na nimewanasihi mara nyingi lakini hawajakubali nasaha. Nifanye nini?
Jibu: Peleka jambo lao kwa chombo kinachohusika na kinachosimamia kazi na uwajulishe kwamba wanakosa swalah ya mkusanyiko, peleka jambo lao kwa mamlaka husika, kwa kiongozi wa mji au kwa mahakama. Unapaswa kujitahidi katika mambo yatakayosaidia kuwaongoza. Huenda Allaah akawaongoza kwa sababu zako. Anza kwa kuwajulisha anayewasimamia. Huenda Allaah akamsaidia kuwanasihi, kuwaelekeza na kuwalazimisha kushikamana na haki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/189)
- Imechapishwa: 24/02/2026
Swali: Nina wafanyakazi wenzangu hawaswali na nimewanasihi mara nyingi lakini hawajakubali nasaha. Nifanye nini?
Jibu: Peleka jambo lao kwa chombo kinachohusika na kinachosimamia kazi na uwajulishe kwamba wanakosa swalah ya mkusanyiko, peleka jambo lao kwa mamlaka husika, kwa kiongozi wa mji au kwa mahakama. Unapaswa kujitahidi katika mambo yatakayosaidia kuwaongoza. Huenda Allaah akawaongoza kwa sababu zako. Anza kwa kuwajulisha anayewasimamia. Huenda Allaah akamsaidia kuwanasihi, kuwaelekeza na kuwalazimisha kushikamana na haki.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/189)
Imechapishwa: 24/02/2026
https://firqatunnajia.com/wafanyakazi-wenzangu-wasioswali/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket