Vidonge vya kuzuia mimba kwa muda

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia baadhi ya vidonge maalumu vya kuzuia mimba kwa muda?

Jibu: Ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo na haipelekei madhara ya kiafya na jambo hilo linafanyika kwa ridhaa ya wanandoa wote wawili, basi hakuna ubaya. Wakati wa dharurah, hakuna tatizo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/195)
  • Imechapishwa: 20/02/2026