Swali: Ni kipi kinachotakiwa kuzingatiwa wakati wa kuchagua muadhini; upazaji wake sauti juu au uzuri wa sauti yake?
Jibu: Yote mawili; upazaji sauti yake na uzuri wa sauti yake. Akiwa na sauti nzuti na watu hawasikii adhaana faida iko wapi? Hapana shaka kwamba upazaji sauti ni muhimu zaidi kuliko uzuri wa sauti.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
- Imechapishwa: 22/01/2017
Swali: Ni kipi kinachotakiwa kuzingatiwa wakati wa kuchagua muadhini; upazaji wake sauti juu au uzuri wa sauti yake?
Jibu: Yote mawili; upazaji sauti yake na uzuri wa sauti yake. Akiwa na sauti nzuti na watu hawasikii adhaana faida iko wapi? Hapana shaka kwamba upazaji sauti ni muhimu zaidi kuliko uzuri wa sauti.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
Imechapishwa: 22/01/2017
https://firqatunnajia.com/upazaji-sauti-au-uzuri-wa-sauti/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket