Unachotakiwa kusema unapoambiwa fulani anakusalimia

Swali: Baadhi ya watu wanapoambiwa kuwa wanasalimiwa na fulani husema ´salamu zimwendee yeye na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)´?

Jibu: Hatujafikiwa na hili. Halina msingi. Anachotakiwa ni yeye kumrudishia salamu yule anayemsalimia kwa kusema:

وعليك وعلى فلان السلام

“Amani iwe juu yako pia na huyo fulani.”

au aseme:

على فلان السلام

“Amani imwendee fulani.”

Inatosha kusema hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24241/ماذا-يقال-لمن-بلغه-ان-فلانا-يقرىه-السلام
  • Imechapishwa: 17/09/2024