Swali: Ni ipi hukumu ya mnyama wa Udhhiyah mwenye mkia mfupi na asiye na pembe?
Jibu: Hakuna tatizo. Asiye na pembe na mwenye mkia mfupi hawana shida. Yule ambaye mkia wake ni mfupi au asiye na pembe, hakuna ubaya ndani yake. Lakini aliyekatwa hapana. Ikiwa pembe yake imekatwa au mkia wake umekatwa, basi haisihi. Ama ikiwa kwa maumbile yake ni mwenye mkia mfupi, hana pembe kwa asili, hana sikio kwa maumbile au mkia wake ni mfupi kwa maumbile, basi hakuna tatizo. Ama ikiwa mkia wake umekatwa, pembe yake imekatwa au ikavunjwa au sikio likakatwa, mnyama huyo hapana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1713/حكم-الاضحية-بالبتراء-والجماء
- Imechapishwa: 05/06/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mnyama wa Udhhiyah mwenye mkia mfupi na asiye na pembe?
Jibu: Hakuna tatizo. Asiye na pembe na mwenye mkia mfupi hawana shida. Yule ambaye mkia wake ni mfupi au asiye na pembe, hakuna ubaya ndani yake. Lakini aliyekatwa hapana. Ikiwa pembe yake imekatwa au mkia wake umekatwa, basi haisihi. Ama ikiwa kwa maumbile yake ni mwenye mkia mfupi, hana pembe kwa asili, hana sikio kwa maumbile au mkia wake ni mfupi kwa maumbile, basi hakuna tatizo. Ama ikiwa mkia wake umekatwa, pembe yake imekatwa au ikavunjwa au sikio likakatwa, mnyama huyo hapana.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1713/حكم-الاضحية-بالبتراء-والجماء
Imechapishwa: 05/06/2026
https://firqatunnajia.com/udhhiyah-mwenye-mkia-mfupi-na-asiye-na-pembe/