Swawm yake ni sahihi midhali damu haijashuka

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutumia vidonge vya kuzuia ada ya mwezi ili aweze kufunga Ramadhaan bila kusitisha?

Jibu: Hakuna neno kwake kufanya hivo ikiwa tembe hizi hazimdhuru katika afya yake na zinazuia damu. Hapana vibaya akavitumia. Swawm yake ni sahihi muda wa kuwa damu haijashuka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/407)
  • Imechapishwa: 26/03/2022