Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali ndani ya nguo ambazo zenye picha za viumbe wenye roho, ni mamoja ni picha zilizofumwa au zilizopigwa chapa?
Jibu: Ikiwa mtu huyo ni mjinga, hakuna kinachomlazimu. Ikiwa ni mjuzi swalah yake ni sahihi licha ya kwamba anapata dhambi, kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi ya wanazuoni. Wako wanazuoni wenye kuona kuwa swalah yake inabatilika kwa sababu ameswali ndani ya nguo ambayo ni haramu kwake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/360)
- Imechapishwa: 19/03/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali ndani ya nguo ambazo zenye picha za viumbe wenye roho, ni mamoja ni picha zilizofumwa au zilizopigwa chapa?
Jibu: Ikiwa mtu huyo ni mjinga, hakuna kinachomlazimu. Ikiwa ni mjuzi swalah yake ni sahihi licha ya kwamba anapata dhambi, kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi ya wanazuoni. Wako wanazuoni wenye kuona kuwa swalah yake inabatilika kwa sababu ameswali ndani ya nguo ambayo ni haramu kwake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/360)
Imechapishwa: 19/03/2026
https://firqatunnajia.com/swalah-ndani-ya-nguo-zilizopambwa-picha/