Msafiri kuiswali swalah moja mara mbili

Swali 24: Wakati tunaposafiri kuelekea Marekani ndege inapitia njia ya Ujerumani wakati wa alasiri na tunapofika Marekani tunaswali ´Aswr. Ni ipi hukumu ya swalah?

Jibu: Hakuna haja ya kuswali swalah mbili katika siku moja. Swalah moja inatosha.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb, uk. 68
  • Imechapishwa: 29/12/2019