Swali: Mtu anapanguza juu ya soksi zake na baada ya swalah ya Dhuhr moja kwa moja akakuta ndani yake kuna tundu ilihali hajui ni swalah ngapi alizoziswali hali ya kuwa na tundu hilo.

Jibu: Iwapo tundu hilo ni dogo na jepesi lisiloleta athari, basi swalah yake ni sahihi. Iwapo tundu hilo ni kubwa na pana, basi arudie swalah ya mwisho tu. Atawadhe na anarudia swalah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2375/حكم-المسح-على-الجورب-ان-كان-مثقوبا
  • Imechapishwa: 09/01/2026