Swali: Mswaliji kuweka Sutrah ni jambo la wajibu au limependekezwa?
Jibu: Sutrah imependekezwa. Ni miongoni mwa mambo ya Sunnah za swalah. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pindi alipomfunza yule mwanamume namna atakavyoswali hakumtajia Sutrah. Alimfunza swalah na matendo ya swalah na wala hakumtajia Sutrah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
- Imechapishwa: 16/07/2017
Swali: Mswaliji kuweka Sutrah ni jambo la wajibu au limependekezwa?
Jibu: Sutrah imependekezwa. Ni miongoni mwa mambo ya Sunnah za swalah. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pindi alipomfunza yule mwanamume namna atakavyoswali hakumtajia Sutrah. Alimfunza swalah na matendo ya swalah na wala hakumtajia Sutrah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
Imechapishwa: 16/07/2017
https://firqatunnajia.com/sutrah-kwa-mujibu-wa-al-fawzaan/