Swali: Je, imethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba alikuwa akisoma katika swalah ya Fajr ”as-Sajdah” na ”al-Insaan”? Je, imesihi kutoka kwake kwamba alisujudu ndani ya swalah?
Jibu: Kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisujudu humo asubuhi ya ijumaa. Wala sijui makinzano yoyote ya wanazuoni katika hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/264)
- Imechapishwa: 20/02/2026
Swali: Je, imethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba alikuwa akisoma katika swalah ya Fajr ”as-Sajdah” na ”al-Insaan”? Je, imesihi kutoka kwake kwamba alisujudu ndani ya swalah?
Jibu: Kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisujudu humo asubuhi ya ijumaa. Wala sijui makinzano yoyote ya wanazuoni katika hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/264)
Imechapishwa: 20/02/2026
https://firqatunnajia.com/sunnah-katika-fajr-ya-siku-ya-ijumaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket