Redio ya mawaidha
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Karibuni katika Redio ya mawaidha ambayo inacheza mawaidha mbalimbali kwa masaa 24 kutoka kwa walinganizi wetu wa Afrika mashariki.
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
53 responses
Namshukuru Allah kwa kupataa Redio yenyekutupaa faidaa
Alhamdulillah
Mbona mawaidha hayo hayoo
Ipo vzr alhamdulillah wewe siklz
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatu
Hayo hayoo mawaidha ! Tukiatendea hayo hayoo tutaongoka in sha Allah.
Alhamdulillahi kwa neema ya Uislamu na sunna. Wallahi hii ni neema kubwa. Leo twasoma kwa njia nyepesi kweli. Allah awabariki ikhwaananaa.
Alhamdulillah
Asalam Alykum warahmatullah wabarakatuh
Radio ya mawaidha mbona ipo kimya hatuisikii ikichezwa
Radio nzur saana tunaipata hapa Dodoma kwa uzur kabsa
Mashaallah
Wabillahi tawfik.
Mashaallah
Wabillahi tawfik.
Assalamu aleykum warahmatullAhi wabarakaatuhu vp hli xnu..nawapata mashekhe loud n clear..#
Mashaallah
Wabillahi tawfik.
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya swala hii naweza kupata vipi?
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya hii ya swala hii naweza kupata vipi?
Alhamdulillah
As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Mbona radio ya mawaidha inalia hivyo ni dufu au
Asalam alaikum
Alhamdulilah tunamshukuru Allah kuendelea kupata faida kemkem
Mashallah
Mashaallah
Tunaomba na shekh kipoozeo na nassor bachu
Sijui huwa saangapi
Akhiy kipozeo hawekwi kwenye hii redio. Jazaak Allaahu khayra
Hi radIo kuna watu wanawataka watu wa bidaa wakina kipoozeo sasa twawasaidia vp na humu si mahali pao hao masheka wa kibidaa
Naam ni kweli al-Akh. Kwa wale wanaoifuatilia Firqatunnajia.com kwa karibu basi watapata kujua kwamba Da´wah yetu sisi na watu hao ambao hata hawastahiki kutajwa kwa majina ni mbali kwa mbali kabisa. Lakini inawezekana huyo aliyemuulizia kipozea pengine ni mgeni ndani ya tovuti hii.
Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
Mbona leo radio ya mawaidha haisomi?
BaarakaLLAAHU fiykum.
ماشاءالله
Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
BaarakaLLAAHU fiykum
Redio ya mawaidha haisomi sijui kwanini?
BaarakaLLAAHU fiykum.
Asalamu alykum Nipo mtwara pamoja sana
Jazaakumullahu khyran
Allah awajaze Kheri
Assalam alaykum mbona inakata leo
Baaraka llahu fiikum
Hakika tunapata faida kubwa yadini yetu Allah-awalipe kheri mashekh Wetu-dunia fi-Akhera vipenzi Wetu
Alhamdulillah….Neema.
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu radio imepotea tangu Jana
Ahsanteni kwa jitihadi nzuri ya kueneza dini ya Allahu
مفيد ما شاء الله
ALLAH awajaze kheri wote wanaosaidia katika kuipeleka dini mbele
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh naomba murushe audio za masheikh wa kisalafi za Quran.
Alhamdulillah kwa kupata mafunzo sahih ya Dini …Jazakallah hu kheiran ….Allah aza wa jalah awalipe iwe katikamizani yenu siku ya hesabu ….Amin ya Raab Laalamin
jazaak llahu khayran…
jazaak llahu khayran…tunaomba tuwekewe rqtiba ya vipindi kama inawezekana
Mashallah, Allah awalipe kheri, redio isikike maeneo mengi ummah upate kuelewa kuhusu usalafi
Asalam alykum alhmdullillh Allah akubariq na atubariq sote na atufishe katika njia ya sawa
بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا
Jazakallah khaira..
Allaah awalipe kheri nawapata vizuri
Barkallah fiqi
A
ASALLAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH HIVI HII APPLICATION TATIZO NINALOKUTANA NALO KWANGU NAONA KAMA IMEPOTEZA UBORA HASWA KWA MFANO KIPENGELE CHA KU SEARCH SAIZI HAKUPO TENA
Iko kwenye maboresho na itakuwa tayari katika siku za usoni.
Ndugu zenu Firqatunnajia.com
Assalaamu aleykum..naipata loud n clear..#
BarakaAllahu fiikum..#