Masjid ´Aaishah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf167224 Swali langu je nikiswali swalaatu fajr imamu akileta kunut hali yakuwa me spend kunuti ni itikie au nikae kimya????
Salaf169374 Assalaam a'alykum warahmatullah wabarakatuh, naomba kufahamu hukmu ya Mfungaji anaeendelea kufanya biashara za vyakula vilivyopikwa kama Chipsi,mihogo
Salaf169374
Salaf169374
Assalaam a'alykum warahmatullah wabarakatuh, naomba kufahamu hukmu ya Mfungaji anaeendelea kufanya biashara za vyakula vilivyopikwa kama Chipsi,mihogo
@Salaf169374:
Salaf169393 Assallamu allaykumu niipi hukumu ya mutu alie muingilia mkewe ndani ya ramadhani ktk kulisha masikini sitini nikwa mara moja au
Salaf169396 Ustadh unatumia kitabu gani kututolea Darsa ?.
Salaf168043 je akikuambia nenda kweni nitakutumia talaka yako
Salaf171145 Na kama ni dharura na nikatoka bila kumwambia Kwa sababu labda simpati Kwa simu lakini Najua nikimjulisha kuwa nilitoka atakuwa Yuko sawa.je yafaa?
Salaf169364 Kama imefika wakati wa swalah ya maghrib na mwanamke alikuwa ameenda kutaadha akaona amepata Heidh jee anafaa kulipiza hio swalaah ya maghrib?
Salaf172442 بارك الله فيكم جميعا
Salaf172377 Assalamu Aleikum warahmatullah wabarakatuh
Salaf169862 Assallam aleykum warrahmah tullah wabarrakatuh je inafaa kwa msafir mume kumuingilia mkewe ikiwa amerud kutka safrini na mke alikua ktk ada ya hedhi n
Salaf169862 Baada ya hedhi kukata mchana wa ramadhani
Salaf172926 Assalam alaykum warahmatullahi wabarakat mwenye kuchukua off kazini kwasababu ya ibada pekee yake Yaani azidishe zaidi ibaada na sio kulala je inafaa
Salaf172926 Kusema swallu sufufakum kabla ya swala ya sunnah inafaa
Salaf172926 Kuswali Qabliya ya swala ya dhuhr rakaa NNE kwa pamoja inajuzu na jHaturuhusu maneno mabaya!aadiyya ya swala ya dhuhr kuswali NNE pia kwa pamoja
Salaf172926 Mwisho wa suhur ni SAA ngapi
Salaf172926
Salaf172926
Kuswali Qabliya ya swala ya dhuhr rakaa NNE kwa pamoja inajuzu na jHaturuhusu maneno mabaya!aadiyya ya swala ya dhuhr kuswali NNE pia kwa pamoja
Imeandikika kwa vibaya kuswali rakaa NNE baadiya kwa pamoja
Salaf172926 Mwanamke kukaa msikitini kwa ajili ya darsa anaweza kutia nia ya itikaf pale msikitini
Salaf169185 Sheikh kwa upande majina ya Allah Kuna wale wanaobandika kwenye kuta za nyumba na magari vipi hukmu yake?
Salaf173938 Je inafaa kutafuta elimu kwa watu wa bida'a
Salaf172909 Asalaam Aleikum. Ustadh ningependa unijuze zaidi kuhusu hukmu za bafu za njee Kwa mwanamke. Na ni ipi hiyo bafu ya nje
salafiy sh bafu za nje kunakusudiwa zile sehemu za kuogea kama swimmingpool za nje
Salaf174074 Asalam aleykum warhamatullahi wabarakatuhu,swali langu nikuhusu rakaa mbili kabla ya alfajir na rakaa mbili za alfajir kipi bora,natanguliza shukran
Salaf174179 Asalam aleykum warahmatulah wabarakatah
Salaf174179 Swali langu ni ipi hukum ya mtu anaeswali ijumaa hadi ijumaa,ramadhan hadi ramadhan na eid hadi eid
Salaf173938 Allah akupeni kila la kheri kwa jitihada zenu za kutupa elimu kupitia hizi darsa tufatilia vizuri sana hapa zanzibar
Salaf168043 jaaaan
Salaf174429 Asalaam alaykum naomba kufahamishwa juu hii swala inayoitwa swala ya tasbih...ni ipi dalili ya kutokujuzu kwake?
Salaf174429 Asalaam alaykum nauliza mwanamke akiwa na hedhi au nifasi anaruhusiwa kushika masahafu na kukisoma kitabu cha mola wake?
Idadi ya watu: 1
Kliki hapa

radio

Masjid ´Aaishah Mombasa