Ni ipi hukumu mwanamke akitumia kitu kinachokatisha damu katika siku za nifasi au hedhi?

Swali: Ni ipi hukumu mwanamke akitumia kitu kinachokatisha damu katika siku za nifasi au hedhi?

Jibu: Mwanamke akitumia vidonge au sindano vinavyokatisha damu, kisha damu ikakatika kwa sababu hiyo na akaoga, basi atafanya kama wanavyofanya wanawake walio twahara. Swalah yake ni sahihi na swawm yake ni sahihi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (10/213)
  • Imechapishwa: 24/02/2026