Ni bora kukimu swalah kwenye kipaza sauti?

Swali 224: Je, bora ni kukimu swalah kwenye kipaza sauti au bila ya kipaza sauti?

Jibu: Bora ni kukimu swalah kwenye kipaza sauti. Kwa sababu baadhi ya watu wanakuwa ni wenye kupumbaa na hivyo Iqaamah inawatikisa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92