Swali: Je, inafaa kwa mke kutoka nyumbani pasi na idhini ya mume?
Jibu: Haijuzu kwake kutoka nyumbani isipokuwa kwa idhini yake, kwa sababu hiyo ni haki yake juu yake:
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake.”[1]
Kumwomba kwake idhini hakumkoseshi chochote. Amwombe idhini.
[1] 04:34
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 03/07/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket