Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ ۚ فَالصَّالِحَاتُ قَانِتَاتٌ حَافِظَاتٌ لِّلْغَيْبِ بِمَا حَفِظَ اللَّـهُ ۚ وَاللَّاتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ وَاضْرِبُوهُنَّ ۖ فَإِنْ أَطَعْنَكُمْ فَلَا تَبْغُوا عَلَيْهِنَّ سَبِيلًا ۗ إِنَّ اللَّـهَ كَانَ عَلِيًّا كَبِيرًا
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na kwa sababu ya yale wanayotoa katika mali zao. Basi wanawake wema watiifu, wenye kuhifadhi hata wanapokuwa hawapo [waume zao] kwa kuwa Allaah [ameamrisha] wayahifadhi. Na wale wanawake ambao mnakhofu uasi wao, basi waonyeni na [wakiendelea uasi] wahameni katika vitanda na wapigeni. Wakikutiini, basi msitafute dhidi yao njia. Hakika Allaah yuko juu kabisa na Ametukuka.” (04:34)
Ni ipi tafsiri ya Aayah hii? Ni nini maana ya “uasi”?
Jibu: Maana yake ni kwamba mwanaume ndiye msimamizi wa mwanamke, kumhudumikia, kumtengea makazi, kumlinda, kumhifadhi na upindaji. Yeye ndiye mwenye kumchunga, ataulizwa juu yake siku ya Qiyaamah. Asimwache akaingia na kutoka apendavyo. Yeye ndiye msimamizi wake.
Swaloi: Nini maana ya uasi?
Jibu: Ni mke kumuasi mume. Uasi ni yeye [mwanamke] asimpe haki yake ya kitandani.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
- Imechapishwa: 20/06/2020
Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ ۚ فَالصَّالِحَاتُ قَانِتَاتٌ حَافِظَاتٌ لِّلْغَيْبِ بِمَا حَفِظَ اللَّـهُ ۚ وَاللَّاتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ وَاضْرِبُوهُنَّ ۖ فَإِنْ أَطَعْنَكُمْ فَلَا تَبْغُوا عَلَيْهِنَّ سَبِيلًا ۗ إِنَّ اللَّـهَ كَانَ عَلِيًّا كَبِيرًا
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na kwa sababu ya yale wanayotoa katika mali zao. Basi wanawake wema watiifu, wenye kuhifadhi hata wanapokuwa hawapo [waume zao] kwa kuwa Allaah [ameamrisha] wayahifadhi. Na wale wanawake ambao mnakhofu uasi wao, basi waonyeni na [wakiendelea uasi] wahameni katika vitanda na wapigeni. Wakikutiini, basi msitafute dhidi yao njia. Hakika Allaah yuko juu kabisa na Ametukuka.” (04:34)
Ni ipi tafsiri ya Aayah hii? Ni nini maana ya “uasi”?
Jibu: Maana yake ni kwamba mwanaume ndiye msimamizi wa mwanamke, kumhudumikia, kumtengea makazi, kumlinda, kumhifadhi na upindaji. Yeye ndiye mwenye kumchunga, ataulizwa juu yake siku ya Qiyaamah. Asimwache akaingia na kutoka apendavyo. Yeye ndiye msimamizi wake.
Swaloi: Nini maana ya uasi?
Jibu: Ni mke kumuasi mume. Uasi ni yeye [mwanamke] asimpe haki yake ya kitandani.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
Imechapishwa: 20/06/2020
https://firqatunnajia.com/mwanaume-kumsimamia-mwanamke/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)