Swali: Mimi ni mwanafunzi shuleni. Je, inajuzu kuchelewesha swalah ya Dhuhr mpaka nirudi nyumbani ilihali saa inaweza kuwa moja na nusu?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo. Ikiwa unashughulika na masomo na ikiwa haikuwezekana kuswali mwanzoni mwa wakati hakuna tatizo, kwa sababu wakati wa Dhuhr ni mpana. Ikiwa unafika nyumbani kabla ya kumalizika kwa wakati wake, basi hapana neno katika hilo. Ikiwezekana bora zaidi ni kuswali mwanzoni mwa wakati.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/211)
- Imechapishwa: 25/02/2026
Swali: Mimi ni mwanafunzi shuleni. Je, inajuzu kuchelewesha swalah ya Dhuhr mpaka nirudi nyumbani ilihali saa inaweza kuwa moja na nusu?
Jibu: Hakuna ubaya katika hilo. Ikiwa unashughulika na masomo na ikiwa haikuwezekana kuswali mwanzoni mwa wakati hakuna tatizo, kwa sababu wakati wa Dhuhr ni mpana. Ikiwa unafika nyumbani kabla ya kumalizika kwa wakati wake, basi hapana neno katika hilo. Ikiwezekana bora zaidi ni kuswali mwanzoni mwa wakati.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/211)
Imechapishwa: 25/02/2026
https://firqatunnajia.com/mwanafunzi-kuchelewesha-dhuhr/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket