Swali: Nikimpenda mtu kwa ajili ya Allaah ni lazima kwangu kumwambia hilo?

Jibu: Ndio, imethibiti katika Hadiyth ya kwamba ukimpenda ndugu yako kwa ajili ya Allaah unatakiwa kumwambia hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2136
  • Imechapishwa: 12/07/2020