Mume na mke kuoshana

Swali: Je, inajuzu kwa mume na mke kuoshana bafuni wakiwa wote wawili uchi?

Jibu: Hakuna neno.

Check Also

Peleka mahakamani

Swali: Mimi nina dada anayegombana na mume wake mwenye madhehebu na mfumo wa Suufiyyah. Anampiga, …