Swali: Vipi kafara kwa mke ambaye amelazimishwa kufanya tendo la ndoa?
Jibu: Ikiwa amelazimishwa na hakuwa na khiyari kabisa, kwa maana alilazimishwa kufanya jambo hilo bila uwezo wa kukataa, basi hakuna kafara juu yake. Kafara itakuwa juu ya mume kwa nafsi yake mwenyewe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/398)
- Imechapishwa: 18/02/2026
Swali: Vipi kafara kwa mke ambaye amelazimishwa kufanya tendo la ndoa?
Jibu: Ikiwa amelazimishwa na hakuwa na khiyari kabisa, kwa maana alilazimishwa kufanya jambo hilo bila uwezo wa kukataa, basi hakuna kafara juu yake. Kafara itakuwa juu ya mume kwa nafsi yake mwenyewe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/398)
Imechapishwa: 18/02/2026
https://firqatunnajia.com/mume-amemlazimisha-mkewe-tendo-la-ndoa-mchana-wa-ramadhaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket