Mtoto wa nje ya ndoa kumfanyia wema mama yake

Swali: Ni lazima kwa mtoto wa nje ya ndoa kumtendea wema mama yake?

Jibu: Ndio, anaungana naye. Kwa hiyo anatakiwa kumtendea wema.

  • Mhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18319
  • Imechapishwa: 23/10/2021