Mswaliji hakutarajia kuwa imamu atafupisha swalah

Swali: Mtu aliswali pamoja na imamu, kisha imamu akafupisha swalah hali maamuma hakutarajia kwamba imamu atafupisha. Je, swalah ya maamuma ni sahihi?

Jibu: Ndiyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
  • Imechapishwa: 27/09/2026