Msafiri kuswali naafilah kinyume na Qiblah ndani ya mpando

Swali: Je, inajuzu kuswali Swalah ya Naafilah kinyume na Qiblah na mimi ninaendesha gari katika safari?

Jibu: Ndio. Inajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014