Swali: Ni mnyama upi bora kumchinja katika Udhhiyah; kondoo au ng´ombe?
Jibu: Wanazuoni (Rahimahumu Allaah) wametaja kwamba tukichinja mnyama kamili basi bora ni ngamia, kisha ng´ombe kisha kondoo na mbuzi. Kondoo ni bora kuliko mbuzi. Ama tukichinja kondoo au mbuzi wasaba na tukalinganisha na ng´ombe mmoja, basi kondoo na mbuzi watakuwa ni bora. Lakini hata hivyo kondoo ni bora kuliko mbuzi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (25/34)
- Imechapishwa: 20/08/2018
Swali: Ni mnyama upi bora kumchinja katika Udhhiyah; kondoo au ng´ombe?
Jibu: Wanazuoni (Rahimahumu Allaah) wametaja kwamba tukichinja mnyama kamili basi bora ni ngamia, kisha ng´ombe kisha kondoo na mbuzi. Kondoo ni bora kuliko mbuzi. Ama tukichinja kondoo au mbuzi wasaba na tukalinganisha na ng´ombe mmoja, basi kondoo na mbuzi watakuwa ni bora. Lakini hata hivyo kondoo ni bora kuliko mbuzi.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (25/34)
Imechapishwa: 20/08/2018
https://firqatunnajia.com/mnyama-yupi-bora-kumchinja/