Swali: Kutokana na maendeleo ya matibabu ya meno ya kisasa meno ya dhahabu yamebadilishwa na vitu vyengine ambavyo ni bora zaidi. Je, bado itaendelea kufaa kutumia meno ya dhahabu?
Jibu: Ndio, hakuna neno juu ya hilo. Haitakiwi kusemwa kwamba haifai kutumia meno ya dhahabu kwa sababu tu kuna vyengine badala yake. Jengine ni kwamba dhahabu ina sifa maalum. Kwa mfano haiozi kamwe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
- Imechapishwa: 29/09/2019
Swali: Kutokana na maendeleo ya matibabu ya meno ya kisasa meno ya dhahabu yamebadilishwa na vitu vyengine ambavyo ni bora zaidi. Je, bado itaendelea kufaa kutumia meno ya dhahabu?
Jibu: Ndio, hakuna neno juu ya hilo. Haitakiwi kusemwa kwamba haifai kutumia meno ya dhahabu kwa sababu tu kuna vyengine badala yake. Jengine ni kwamba dhahabu ina sifa maalum. Kwa mfano haiozi kamwe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
Imechapishwa: 29/09/2019
https://firqatunnajia.com/meno-ya-dhahabu-hayaozi-kamwe/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket