Swali: Kuhusu majimaji ya manjano yanayomtoka mwanamke, ni mamoja awe bikira au aliyeolewa, bila kuota ndoto ya kujamii. Ni ipi hukumu yake? Je, anaoga kwa sababu ya majimaji hayo?
Jibu: Ikiwa majimaji hayo ni madhii, si lazima kwake kuoga. Ikiwa ni manii na yametoka kwa sababu ya shahawa au kwa kuota ndoto ya kujamii, basi ni lazima kwake kuoga.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/310)
- Imechapishwa: 14/11/2026
Swali: Kuhusu majimaji ya manjano yanayomtoka mwanamke, ni mamoja awe bikira au aliyeolewa, bila kuota ndoto ya kujamii. Ni ipi hukumu yake? Je, anaoga kwa sababu ya majimaji hayo?
Jibu: Ikiwa majimaji hayo ni madhii, si lazima kwake kuoga. Ikiwa ni manii na yametoka kwa sababu ya shahawa au kwa kuota ndoto ya kujamii, basi ni lazima kwake kuoga.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/310)
Imechapishwa: 14/11/2026
https://firqatunnajia.com/majimaji-ya-njano-yanayomtoka-mwanamke/