226 – Ishaaq bin Mansuur ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa ´Abdullaah bin Jabr: Nimemsikia Anas akisimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

”Alama ya mnafiki ni kuwachukia Answaar na alama ya muumini ni kuwachukia Answaar.”[1]

[1] al-Bukhaariy (3784) na Muslim (128).

  • Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 140
  • Imechapishwa: 30/09/2026