Swali: Bora katika Swawm ya kufunga siku tatu kwa kila mwezi mtu afunge masiku meupe au afunge siku tatu kwa kuachana?
Jibu: Inajuzu kufunga siku tatu kwa kutofautiana, mwanzoni mwa mwezi au kati kati ya mwezi au mwishoni mwa mwezi. Lakini kufunga masiku meupe ndio bora zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-13.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Bora katika Swawm ya kufunga siku tatu kwa kila mwezi mtu afunge masiku meupe au afunge siku tatu kwa kuachana?
Jibu: Inajuzu kufunga siku tatu kwa kutofautiana, mwanzoni mwa mwezi au kati kati ya mwezi au mwishoni mwa mwezi. Lakini kufunga masiku meupe ndio bora zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-13.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/lini-bora-kufunga-siku-tatu-za-kila-mwezi/