Kuswali karibu na imamu ilihali katika safu kuna nafasi

Swali: Kuna tatizo lau mtu ataswali pembezoni mwa imamu ilihali katika safu kuna nafasi?

Jibu: Hakuna neno. Hakuna neno kuswali kuliani mwa imamu hata kama katika safu kutakuwepo nafasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020