Swali: Benki imenunua nyumba na kunikodeshea. Baada ya miaka kadhaa nyumba hiyo inakuwa milki yangu.
Jibu: Ni kukodi kwa muda mrefu. Haijuzu. Ima benki ikuuzie nyumba hiyo au wakukodishie. Haijuzu kukodisha na kuuza na wakati huohuo kwa kuwepo kwa masharti.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
- Imechapishwa: 08/06/2020
Swali: Benki imenunua nyumba na kunikodeshea. Baada ya miaka kadhaa nyumba hiyo inakuwa milki yangu.
Jibu: Ni kukodi kwa muda mrefu. Haijuzu. Ima benki ikuuzie nyumba hiyo au wakukodishie. Haijuzu kukodisha na kuuza na wakati huohuo kwa kuwepo kwa masharti.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
Imechapishwa: 08/06/2020
https://firqatunnajia.com/kununua-nyumba-baada-ya-kukodi-kwa-muda-mrefu/