Swali: Ni ipi hukumu ya kutazama sherehe za makafiri miongoni mwa waabudu moto na manaswara, na pia Husayniyyah za Raafidhwah?
Jibu: Haijuzu kwa muislamu kuhudhuria sherehe hizi za Bid´ah. Hili ni katika madhambi makubwa. Wala asiwasalimie kwa kuwapongeza, wala asikubaliane nao katika vyakula vyao wala vinywaji vyao.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 07/10/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kutazama sherehe za makafiri miongoni mwa waabudu moto na manaswara, na pia Husayniyyah za Raafidhwah?
Jibu: Haijuzu kwa muislamu kuhudhuria sherehe hizi za Bid´ah. Hili ni katika madhambi makubwa. Wala asiwasalimie kwa kuwapongeza, wala asikubaliane nao katika vyakula vyao wala vinywaji vyao.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 07/10/2026
https://firqatunnajia.com/kuhudhuria-sikukuu-za-makafiri/