Swali: Ni haramu kuchelewesha swalah mpaka katika wakati wa dharurah pasi na udhuru?
Jibu: Ndio. Kwa kuwa hakudharurika kufanya hivo. Ni haramu kwake kuchelewesha mpaka katika wakati wa dharurah ikiwa hakudharurika kufanya hivo
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
- Imechapishwa: 04/02/2017
Swali: Ni haramu kuchelewesha swalah mpaka katika wakati wa dharurah pasi na udhuru?
Jibu: Ndio. Kwa kuwa hakudharurika kufanya hivo. Ni haramu kwake kuchelewesha mpaka katika wakati wa dharurah ikiwa hakudharurika kufanya hivo
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
Imechapishwa: 04/02/2017
https://firqatunnajia.com/kuchelewesha-swalah-bila-ya-dharurah-mpaka-wakati-wa-dharurah/