Swali: Kuna baadhi ya Madu´aat ambao wako na elimu, lakini wanatumbukia katika baadhi ya madhambi na maasi. Je, tutahadharishe watu nao au tuwanasihi kwa siri?
Jibu: Ndio, inatakikana kuwa namna hii. Wanasihi kwa siri. Yawezekana nyinyi mkawa sio wenye uhakika kwa kuwatuhumu. Hakikisheni kwanza. Hakikisheni makosa yao kisha ndio muwanasihi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=uIoQmLCh38w
- Imechapishwa: 19/01/2018
Swali: Kuna baadhi ya Madu´aat ambao wako na elimu, lakini wanatumbukia katika baadhi ya madhambi na maasi. Je, tutahadharishe watu nao au tuwanasihi kwa siri?
Jibu: Ndio, inatakikana kuwa namna hii. Wanasihi kwa siri. Yawezekana nyinyi mkawa sio wenye uhakika kwa kuwatuhumu. Hakikisheni kwanza. Hakikisheni makosa yao kisha ndio muwanasihi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=uIoQmLCh38w
Imechapishwa: 19/01/2018
https://firqatunnajia.com/kuamiliana-na-walinganizi-wanaofanya-madhambi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)