Swali: Je, ni bora kujinasibisha mtu na Salafiyyah na kujiita “Salafiy” au inatosha kusema mimi ni muislamu?

Jibu: Tunapokuja katika kujinasibisha na Salafiyyah, haitoshi maneno tu. Yatakikana kufuata na kuwa katika mfumo wa Salaf hata kama hakusema mimi ni Salafiy.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.subulsalam.com/site/audios/alfozan/divers/130.Asalafiya7aqi qatoha-13-6-1433.mp3 Tarehe: 1433-06-13/2012-05-04
  • Imechapishwa: 09/04/2022