Swali: Wanafasiri neno Istiwaa´, kulingana, kama Istiylaa´, kutawala, kwa hoja ya neno la mshairi:
“Bishr amelingana (istawaa´) juu ya ´Iraaq bila ya panga wala kumwagika damu.”
Vipi tutaraddi hilo?
Jibu: Shairi hili ni la kutungwa na halipatikana kwenye kitabu cha aliyenasibishiwa nalo. Kilugha Istiwaa´, kulingana, haina maana ya Istiylaa´, kutawala. Katika lugha ya kiarabu Istiwaa´, kulingana, haina maana ya Istiylaa´, kutawala.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331123.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Swali: Wanafasiri neno Istiwaa´, kulingana, kama Istiylaa´, kutawala, kwa hoja ya neno la mshairi:
“Bishr amelingana (istawaa´) juu ya ´Iraaq bila ya panga wala kumwagika damu.”
Vipi tutaraddi hilo?
Jibu: Shairi hili ni la kutungwa na halipatikana kwenye kitabu cha aliyenasibishiwa nalo. Kilugha Istiwaa´, kulingana, haina maana ya Istiylaa´, kutawala. Katika lugha ya kiarabu Istiwaa´, kulingana, haina maana ya Istiylaa´, kutawala.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331123.mp3
Imechapishwa: 17/06/2015
https://firqatunnajia.com/kiarabu-istiwaa-haina-maana-ya-istiylaa/