Swali: Kuna mtu amekula kiapo na anataka kutoa kafara. Anataka kuilisha familia ilio na wakubwa na watoto. Familia iko na zaidi ya watu kumi. Ni kiwango kiasi gani atatoa?
Jibu: Ni sawa. Awape kilo 15 kg; kila mmoja 1,5 kg. Haijalishi kitu hata kama baadhi yao ni watoto midhali wanakula chakula. Ni sawa kuwapa kafara watoto chakula maadamu wanakula chakula.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
- Imechapishwa: 08/06/2020
Swali: Kuna mtu amekula kiapo na anataka kutoa kafara. Anataka kuilisha familia ilio na wakubwa na watoto. Familia iko na zaidi ya watu kumi. Ni kiwango kiasi gani atatoa?
Jibu: Ni sawa. Awape kilo 15 kg; kila mmoja 1,5 kg. Haijalishi kitu hata kama baadhi yao ni watoto midhali wanakula chakula. Ni sawa kuwapa kafara watoto chakula maadamu wanakula chakula.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
Imechapishwa: 08/06/2020
https://firqatunnajia.com/kafara-kwa-familia-ilio-na-wakubwa-na-wadogo-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)