Je, inajuzu kumuua mwenye kumchora Mtume?

Swali: Je, inajuzu kumuua mchokaraji kafiri ambaye anajulikana kuweka nje michoro ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Hii sio njia sahihi. Mauaji sio njia sahihi. Hili linazidisha tu shari na chuki dhidi ya waislamu. Kitu cha kuwaudhi ni kuraddi utata wao na kufichukua aibu zao. Ama kuonesha nusura kwa mikono na silaha, hii ni haki ya kiongozi wa waislamu juu ya Jihaad katika njia ya Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara “Innaa kafaynaak”
  • Imechapishwa: 13/01/2015